Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Photo: OCHA Burundi / Ana Maria Pereira

Watafiti wakifanya kazi kwa pamoja na kushirikiana na sekta nyingine, maendeleo ya wananchi yatapatikana

Mkutano unaohusu utafiti, sayansi teknolojia na uvumbuzi katika kukuza ushirikiano na maendeleo katika nchi za Afrika Mashariki ikiwa ni sehemu ya mbio za kuyafikia malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu, SDGs, ulioandaliwa na Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ya Jumuiya hiyo kwa kush

Sauti
1'52"

27 Oktoba 2021

Karibu kusikiliza jarida ambapo leo tunakuletea mada kwa kina maalum kutokea Beni jimboni Kivu Kaskazini nchini DRC ikimulika michezo hususan mpira wa miguu na ulinzi wa amani ambako kumefanyika  mechi ya kirafiki kati ya Timu ya walinda amani kutoka Tanzania na wenyeji Lion Mavivi.

Sauti
11'38"