Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasichana wapata stadi za kuwasaidia kustawi licha ya  COVID-19 na mafuriko nchini Uganda

Wasichana wapata stadi za kuwasaidia kustawi licha ya  COVID-19 na mafuriko nchini Uganda

Pakua

Mafuriko yanayozidi kukosesha watu wengi makazi hasa katika maeneo ya ziwa Albert nchini Uganda sambamba na athari za coronavirus">COVID-19 yameathiri ustawi wa watu katika matabaka mbalimbali.Vijana hasa wa kike wanaripotiwa kuingia katika hatari za kubakwa, na kutumbukia kwenye ndoa za utotoni na madhara yake. Kikundi cha Kaiso Women’s Group kwenye Ziwa Alebrt wilayani Hoima wanajitahidi kupambana na hali hiyo kwa kuwsafunza baadhi ya wasichana pamoja na wanawake ufundi cherehani na utengenezaji wa sabuni miongoni mwa mengine ambayo tayari vimeleta nuru.

Pata maelezo zaidi katika katika mahojiano kati ya John Kibego na Agness Nngyera na viongozi wengine.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Sauti
3'38"
Photo Credit
UN News/ John Kibego