22 Desemba 2021
Hii leo jaridani ni mahsusi kabisa kwa kukutakia sikukuu njema ya Krismasi na mwaka mpya 2022 wenye ustawi na salamu ni kutoka kwa wanaidhaa ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa wengine walioko mashinani wadau wetu.
Hii leo jaridani ni mahsusi kabisa kwa kukutakia sikukuu njema ya Krismasi na mwaka mpya 2022 wenye ustawi na salamu ni kutoka kwa wanaidhaa ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa wengine walioko mashinani wadau wetu.
Umoja wa Mataifa uliutangaza mwaka huu wa 2021 unaoelekea ukingoni kuwa mwaka wa mbogamboga na matunda lengo likiwa ni kuelimisha watu kuhusu umuhimu na faida za mbogambona na matunda mwilini.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasema mapigano kati ya jamii yaliyozuka katika eneo la Kaskazini nchini Cameroon katika wiki mbili zilizopita yamewafurusha takribani watu 100,000 kutoka katika makazi yao, ingawa idadi halisi inaweza kuwa kubwa zaidi. Taarifa ya J
Takribani wakimbizi 5,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambao walikimbilia nchi jiraniya Zambia miaka minne iliyopita kutokana na machafuko nchini wao wameamua kwa hiari kurejea nyumbani. Anold Kayanda anafafanua zaidi.
Mapacha wawili waliozaliwa huko Sana’a nchini Yemen wakiwa wameungana kuanzia kifuani hadi tumboni hatimaye wametenganishwa huko Jordan na wamerejea nyumbani. Taarifa ya Happiness Pallangyo wa radio washirika Uhai Radio FM kutoka Tabora inafafanua zaidi.
Hii leo jaridani Assumpta Massoi anaanza na kufurushwa kwa raia huko Cameroon hususan kutokana na ghasia eneo la kusini-mashariki. Kisha anakwenda Zambia ambako wakimbizi kutoka DRC wameamua kurejea nyumbani kwa hiari kutokana na hali ya usalama kuwa shwari.
Hii leo jaridani Flora Nducha anakuunganisha na Jason Nyakundi mwandishi wa habari wa Umoja wa Mataifa nchini Kenya ambaye amezungumza na mwanamke aliyevunja mwiko wa uchaguzi wa kazi na kuamua kujitosa katika sekta ya ujenzi.
Karibu kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa methali "HERI KUJIKWAA KIDOLE KULIKO KUJIKWAA ULIMI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA
Karibu kusikiliza jarida, kama ilivyoada ijumaa tunakuleta mada kwa kina na hii leo ni kutoka katika taifa changa zaidi Afrika, Sudan Kusini huko tutasikia namna msanii wa uchoraji anavyoinua jamii yake hususan wanawake.
Kutokana na vikundi vilivyopewa kipaumbele kwa ajili ya chanjo dhidi ya COVID-19, serikali ya Uganda imeanza kutumia mbinu ya kuchanja mtu mzima yeyote aliyetayari popote pale.