Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

27 Desemba 2021

Hii leo jaridani ni mada kwa kina na leo tunabisha hodi nchini Tanzania kuangazia harakati za Umoja wa Mataifa kupitisha shirika lake la chakula na kilimo, FAO za kusongesha kilimo hifadhi kama njia mojawapo ya kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDG sambamba na kukabiliana na madhara ya t

Sauti
11'35"