Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

01 Desemba 2021

Leo ni siku ya UKIMWI duniani karibu tuwe sote katika mada kwa kina ambayo inatupeleka makao makuu ya shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na Utamaduni UNESCO mjini Paris Ufaransa kuangazia mchakato wa kupitisha azimio la kuwa na siku ya Kiswahili duniani, Utasikia Azimio hilo linamaani

Sauti
12'46"

30 NOVEMBA 2021

Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa tuliyokuandalia hii leo ni pamoja na vipimo vya VVU vyapungua UNITAID  waomba ufadhili zaidi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linatumia mabalozi wake watoto ambao ni wachechemuzi

Sauti
12'55"