Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

07 Desemba 2021

Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa utakayo sikia leo ni WHO yakataza mtu aliyepona COVID-19 kumchangia damu mgonjwa anayeugua COVID-19 pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira duniani UNEP leo limewatangaza washindi wanne wa tuzo yake ya juu kabisa ya mazingira

Sauti
13'34"

06 Disemba 2021

Karibu kusikiliza jarida ambapo kuelekea siku ya haki za binadamu ambayo huadhimishwa kila tarehe 10 ya mwezi wa 12, tunakuletea vipindi mbalimbali vinavyoeleza umuhimu wa kutekeleza haki za binadamu. Leo tunaangazia haki ya kuishi na kutokubaguliwa ya watu wenye ulemavu.

Sauti
10'33"