Magonjwa ya zinaa kama vile kisonono umeonesha ukinzani kwa dawa ya kumeza: WHO
Utafiti mpya wa kisayansi uliofanyika kwa muda wa miaka sita umebaini kuna viwango vya juu vya usugu wa dawa dhidi ya vimelea au bakteria vinavyosababisha maambukizi kwenye mfumo wa damu yanayoweza kuhatarisha halikadhalika ongezeko la usugu wa tiba dhidi ya vimelea vinavyosababisha magonjwa yali