Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

27 JULAI 2022

Hii leo jaridani tunaanzia huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako ghasia zinaendelea dhidi ya vituo vya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO, walinda amani watatu wa UN wameuawa na watu zaidi ya 61 wamejeruhiwa.. Umoja wa Mataifa umetoa tamko.

Sauti
14'18"