Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

©UNICEF/Bernardino Soares

Wanawake wanaotumia intaneti ni asilimia 57 tu duniani ikilinganishwa na asilimia 62 ya wanaume-ITU

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya wasichana katika tasnia ya Habari na teknolojia ya mawasiliano ICT muungano wa kimataifa wa mawasiliano ITU umesema fursa na usalama mtandaoni ambayo ndio maudhui ya siku ya mwaka huu ni ufunguo wa kukiingiza kizazi kijacho cha wasichana katika Habari na te

Sauti
2'50"