28 Februari 2022
karibu kusikiliza jarida na kama ilivyo ada kila Jumatatu tunakuletea mada kwa kina, mahojiano maalumu na mmoja wa waliokuwa ngariba nchini Tanzania lakini sasa ameacha shughuli hiyo ya ukeketaji baada ya kuelimika.

Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Josephat Gitonga Mhadhiri wa Chuo Kikuu Nairobi nchini Kenya katika Kitivo cha Ukalimani anafafanua maana ya methali, Asiye na kitoweo hurumangia.
Karibu kusikiliza jarida ikiwa leo ni siku ya mada kwa kina kunaelekea nchini Uganda kuangazia kwa undani athari za kiuchumi za mafuriko ambayo yamedumu kwa miaka miwili sasa kwa wakazi hasa wa ziwa Albert baada ya kusababisha hasara kubwa ya mali.
Kikosi cha 5 cha ulinzi wa amani kutoka Tanzania, TANBATT 5 kinachohudumu katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, MINUSCA, kimeyatumia maadhimisho ya wiki ya elimu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea kujenga uhusiano mwema na ja
Kambi ya wakimbizi ya Za'atari nchini Jordan inakadiriwa kuwa mtoto 1 kati ya 10 ana ulemavu, na idadi hiyo huwa kubwa zaidi wakati wa dharura.
Shirika la Umoja wa Mastaifa la kuhudumia Watoto UNICEF limesema linatiwa wasiwasi mkubwa kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi yaliyoanza nchini Ukraine ambayo yanatoa tishio kubwa kwa maisha na ustawi wa Watoto milioni 7.5 nchini humo.
Kwa kipindi cha mwezi mmoja tu, nchi ya Madagascar imekabiliana na vimbunga vinne. Jumanne iliyopita, kimbunga Emnati kiliathiri maeno yaleyale yaliyoathirika na kimbunga Batsirai na kuwafurusha makwao maelfu ya watu.
Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa utakayo yasikia hii leo ni pamoja na mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa yameeleza madhara yanayotokea hususan kwa watoto nchini Ukraine kutokana na mashambulizi.
Wakati macho . masikio na nguvu za dunia zikielekezwa katika utimizaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDG’s yanayofikia ukomo mwaka 2030, kila nchi inafanya jitihada za hali na mali kuhakikisha jamii inafikia malengo hayo.