31 Mei 2022
Jaridani Jumanne Mei 31, 2022 na Leah Mushi-
HABARI KWA UFUPI
Jaridani Jumanne Mei 31, 2022 na Leah Mushi-
HABARI KWA UFUPI
Operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa zinajumuisha masuala mbalimbali zaidi ya kubeba silaha kukabili waasi na kupiga doria ya kuwalinda raia na mali zao.
Kuelekea siku ya kimataifa ya walinda amani ambayo itaadhimishwa Jumapili hii tarehe 29 Mei, Umoja wa Mataifa umetoa medali kuwatambua na kuwaenzi walinda amani majasiri.
Ikiwa leo Mei 27 ni mwaka wa saba kamili tangu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha Azimio namba 2222 la mwaka 2015 la kutambua kazi za waandishi wa habari, kuwalinda na kutaka waheshimiwe , Baraza hilo limesema vitendo vya vitisho na kuuaw
Jaridani Mei 27, 2022
-Azimio la kulinda waandishi wa habari litekelezwe
-Mashujaa watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold
Makala tunaangazia majukumu mengine yanyotekelezwa na walinda amani hususan nchini DRC
Leo katika kujifunza kiswahi mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "USISAFIRIE NYOTA YA MWENZIO”
Jaridani Mei 26-2022 na Leaha Mushi
-Hafla maalum ikiongozwa na Katibu Mkuu Guteress yafanyika kwenye makao makuu kuwaenzi walinda amani wa Umoja wa Mataifa
-Walinda amani kadhaa waenziwa kwenye Umoja wa Mataifa kwa tuzo
Mlinda amani raia Zimbabwe ambaye hivi karibuni alimaliza kazi yake katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini UNMISS, ameshinda tuzo ya Umoja wa Mataifa ya mwanajeshi mtetezi bora wa masuala ya jinsia kwa mwaka 2021.
Afrika ni nyumba ya matumaini. Katika Siku ya Afrika, tunasherehekea ahadi kubwa na uwezo wa bara hili lenye utofauti na nguvu. Amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake wa siku ya Afrika ambayo huadhimishwa kila tarehe 25 Mei.
Jaridani Jumatano Mei 25, 2022 na Leah Mushi
-Umoja wa Mataifa utaendelea kusimama na Afrika asema Katibu Mkuu Antonio Guteress katika kuadhimisha siku ya Afrika.
-Mlinda amani wa Zimbabwe ashinda tuzo ya UN ya mtetezi bora mwanajeshi wa masuala ya jinsia 2021