Walinda amani wa UN na wananchi wakishirikiana amani itapatika DRC
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wameendelea kuhamasishana kuimarisha ushirikiano kati yao ili kufikia lengo kuu la kuleta amani nchini humo.