Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

©Education Cannot Wait

Vijana wa Berberat nchini CAR wakabidhiwa mradi wa madarasa yatakayotumika kutoa elimu ya kompyuta na TEHAMA: TANZBATT 6

Mkuu wa kikosi cha 6 cha Walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wanaohudumu chini ya MINUSCA, Luteni Kanali Amini Steven Mshana amefungua na kukabidhi madarasa yatakayotumika kutoa elimu ya kompyuta na TEHAMA kwa ujumla kwa vijana wa eneo la mji wa Berberat na viunga vyake ili kuwapa u

Sauti
2'44"