Wakimbizi na wenyeji wafaidika na kliniki ya bure ya mazoezi ya viungo Bangladesh:UNHCR
Klinini ya mazoezi ya viungo inayotoa huduma bure kwa wakimbizi wa Rohingya na jamii zinazowahifadhi nchini Bangladesh imeleta matumaini mapya kwa pande zote zinazopokea huduma .
Neno la wiki- Ukitaka cha uvunguni sharti uiname
Hii leo Ijumaa katika Neno la Wiki, Bi. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya methali ukitaka cha uvunguni sharti uiname
Kiswahili kinalipa-mwanafunzi chuo kikuu cha Nairobi, Kenya
Kiswahili kinazidi kutamba na kutambuliwa kama lugha muhimu hata katika mafunzo ya tafsiri na ukalimani hususan nchini Kenya, katika Makala ya wiki hii Grace Kaneiya wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amevinjari katika chuo kikuu cha Nairobi kitengo cha tafsiri na ukalimani ambapo am
27 DESEMBA 2019
Katika Jarida la mada kwa kina hii leo Flora Nducha anakuletea
Kufanya kazi kwa vitendo ni moja ya vitu vilivyonisaidi kufikia nilipofika maishani-Kijana Katuma
Kijana Richard Katuma ni mmoja wa vijana ambao kwa wakati mmoja alikuwa ni mchanigaji wa vipindi vyetu kwenye Idhaa ya Kiswahili ya UN News alipokuwa akifanya kazi na moja ya radio washirika, lakini kama anavyosimulia katika mahojiano na Assumpta Massoi wa Idhaa hii&
Jonatha Joram asimulia mapenzi yake kwa mazingira na viumbe yalivyomsukuma kurejeleza bidhaa chakavu
Ikiwa imesalia takribani miaka kumi kufikia mwaka 2030 ambao umepangwa kuwa ukomo wa utimizaji wa malengo 17 ya maendeleo endelevu, SDGs ,juhudi kote duniani zinaendelea kuhakikisha lengo hilo linafikiwa.
Mkimbizi kutoka Syria aliyefurushwa mara tano asema bado ana nia ya kurudi nyumbani.
Kutana na mkimbizi kutoka Syria Mustafa ambaye hii ni mara ya tano amelazimimika kufungasha virago yeye na familia yake ili kunusuru maisha yake. Pamoja n ayote hayo hakati tamaa ya kurejea nyumbani.
Dkt. Mukwege awashauri waathirika wa ubakaji kuwa wanapobakwa watambue hawana makosa
Ubakaji unasalia kuwa moja ya uhalifu mbaya zaidi duniani na cha kusikitisha ni kwamba asilimia kubwa ya waathirika hushindwa kujitokeza au kushitaki uhalifu huo wakidhani kuwa ni makosa yao.
Raia wa CAR wasema mafunzo ya ufundi ya MINUSCA yamewakomboa
Mafunzo ya ufundi yaliyoanzishwa na Baraza la mashauriano na ubunifu mjini Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR kwa kushirikiana na mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo MINUSCA yameleta neema kwa raia wa nchi hiyo.