Kukata tamaa sio hulka yangu: Nimetz
Mwezi Juni mwaka jana mkataba wa kihistoria ulimaliza mgogoro wenye utata wa miaka 27 kati ya nchi mbili, ambazo ni jamhuri ya Yugoslavia ya zamani na Ugiriki.
Mwezi Juni mwaka jana mkataba wa kihistoria ulimaliza mgogoro wenye utata wa miaka 27 kati ya nchi mbili, ambazo ni jamhuri ya Yugoslavia ya zamani na Ugiriki.
Ukosefu wa uhakika wa chakula na lishe hutokea wakati watu wanakosa fursa ya kuchagua, wanakuwa na wasiwasi kuhusu kuishiwa na chakula na wanalazimika kubadilisha ratiba ya kupata mlo kwa sababu za kiuchumi.
Kwa zaidi ya kipindi cha siku tatu, mahakama ya kuhamahama inayofadhiliwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS, imekuwa katika mji wa Malakal jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini ili kushughulikia kesi kadhaa zikiwahusisha watu ambao walitenda mak
Tume huru ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi kuhusu maandamano kwenye eneo linalokaliwa la Palestina leo imewasilisha ripoti yake kjwenye Baraza la haki za binadamu iliyobaini ukiukwaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu kwenye ukanda wa Gaza.
Dunia imeendelea kukumbwa na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa utafiti wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira UNEP kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira kama ukataji miti hovyo.
Kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za utamaduni, takwimu mbalimbali zinaonesha kuwa bado kuna umuhimu wa kuweka mazingira ya kuwahamasisha wasichana kujiunga katika fani za sayansi.
Nchini Mali operesheni FADEN-6 ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo, MINUSMA umeleta matumaini kwa jamii hususan zile ambazo hazikuwa na matumaini ya kupata siyo tu matibabu bali pia maridhiano baina yao. Assumpta Massoi na ripoti kamili.
Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP hii leo limetangaza kuzindua operesheni ya kusafirisha chakula kwa kutumia ndege ili kuokoa maisha ya watu 18,000 katika eneo la Zemio takribani kilomita 1000 mashariki mwa mji mkuu wa Afrika ya kati, Bangui. Grace Kaneiya na ripoti kamili.
Likizo ya uzazi ni haki kwa kila mama anayefanyakazi kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na ni muhimu katika afya ya mama na mtoto lakini zaidi ukuaji wa mtoto.