Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

UN News Kiswahili

Neno la wiki- KAMSA

Je wafahamu maana ya neno 'Kamsa?' Basi hii leo Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, Onni Sigalla anafafanua kwa kina akisema kuwa neno hilo maana yake ni king'ora maalum. Hebu msikilize kwa makini.

Sauti
42"
UN/Cia Pak

Elimu, ujumuishwaji na mabadiliko ya tabianchi ni baadhi vya vipaumbele vya Kenya aeleza Rais Uhuru Kenyatta

Tumefika hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa kuungana na nchi wanachama kuelezea ambayo Kenya imeyafanya katika kuhakikisha inaendana na vipaumbele vya mkutano huu wa Baraza Kuu la Umoja huo UNGA74 ikiwemo mabadiliko ya tabianchi, ujumuishwaji na ushirikiano wa kuhakisha utimiza

Sauti
2'4"