Raia wa CAR wasema mafunzo ya ufundi ya MINUSCA yamewakomboa 24 Disemba 2019 Habari kwa Ujumla Pakua Mafunzo ya ufundi yaliyoanzishwa na Baraza la mashauriano na ubunifu mjini Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR kwa kushirikiana na mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo MINUSCA yameleta neema kwa raia wa nchi hiyo. Audio Credit UN News/Flora Nducha Audio Duration 2'1" Photo Credit UNDP DRC MINUSCA car mafunzo ya ufundi vita ushonaji