Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Picha ya UN/Marie Frechon (Maktaba)

Wanavyosema wakazi wa kambi ya wakimbizi ya Kyagwali nchini Uganda wkuhusu siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake?

Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana zinaendelea kuadhimishwa kote duniani.  Ukatili ambao Umoja wa Mataifa unasema sio tu unaathiri mamilioni ya kundi hilo na kukiuka haki zao za binadamu bali pia unaacha jeraha lisilokwisha katika akili na maisha ya wa

Sauti
3'29"