Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

© UNFPA Tanzania/Bright Warren

Taasisi ya Benjamin Mkapa yasaidia kuimarisha huduma za afya vijijini kwa kuwandaa wahudumu wa afya

Miongoni mwa taasisi hizo ni ile ya Benjamin Mkapa nchini Tanzania ambayo kwa kushirikiana na serikali ina miradi mbali mbali ya kuhakikisha wakazi wa vijini wanapata huduma ya afya na watoa huduma nao wanavutiwa kufanya kazi maeneo hayo kama anavyofafanua Dkt Ellen Mkondya Senkoro, Afi

Sauti
2'39"