Msaada wa dola zaidi ya milioni tatu na nusu kukarabati shule Haiti baada ya kimbunga Matthew
Umoja wa Mataifa umeipatia Haiti msaada wa dola zaidi ya Milioni tatu na nusu kwa ajili ya ukarabati wa shule ambazo ziliharibiwa na kimbunga Matthew.
Umoja wa Mataifa umeipatia Haiti msaada wa dola zaidi ya Milioni tatu na nusu kwa ajili ya ukarabati wa shule ambazo ziliharibiwa na kimbunga Matthew.
Sambamba na maadhimisho ya mwaka wa utalii endelevu kwa maendeleo yanayotarajiwa kuadhimishwa mwaka 2017, mkutano wa tatu kuhusu maadili na utamaduni utafanyika nchini Poland mnamo april 27 hadi 28 mwakani.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA imesema zaidi ya watu 100,000 waliofurushwa makwao, wengine 10,000 ambao wamerejea makwao na mamia kwa maelfu bado wanahitaji masaada nchini Iraq.
Wahamiaji kutoka Afrika kwenda Afrika! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kuhusu maelfu ya wasaka hifadhi na wakimbizi walioko nchini Misri ambao wanasaidiwa na shrike la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
Shirika la Umoja wa mataifa la makazi duniani UN-Habitat limekabidhi nyumba 123 kwa wakazi waliorejea makwao kwenye kitongoji chaTameem , Ramadi mkoani Anbar nchini Iraq.
Wiki hii tunaangazia neno “Sasambua” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya haki za binadamu OHCHR imesema ina wasiwasi kuhusu mashtaka yanayoendelea juu ya Nabeel Rajab mmoja wa wanzilishi wa kituo cha haki za binadamu nchini Bahrain ambaye amekuwa kizuizini tangu Juni 13 mwaka huu kwa ajili ya kutekeleza haki yake ya uhuru wa kujieleza.
Nchini Uganda watoto wakimbizi kutoka Sudan Kusini, licha ya kuishi katika nchi ya ugenini wamevuka kizuizi cha kitamaduni kwani wanajifunza michezo na nyimbo za utamaduni za nchini humo, halikadhalika wakiendeleza tamaduni mashuelni .
Katika mfululizo wa makala za kuangazia kazi za Umoja wa Mataifa katika ukanda wa nchi za maziwa makuu, tumejikita Burundi nchi ambayo mwaka jana ilikumbwa na sintofahamu ya kisiasa kabla na baada ya uchaguzi mkuu.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limeongeza muda wa ujumbe wake huko Liberia, UNMIL hadi tarehe 30 Machi mwaka 2018.