Kampuni za sigara haziogopi kusema uongo- Dkt. Ouma
Je umewahi kujiuliza kwa nini paketi za sigara na bidhaa za tumbaku au matangazo ya bidhaa hizo yana picha na rangi za kuvutia?
Je umewahi kujiuliza kwa nini paketi za sigara na bidhaa za tumbaku au matangazo ya bidhaa hizo yana picha na rangi za kuvutia?
Nchini Tanzania hivi karibuni, Benki ya Dunia ilifadhili utafiti juu ya viashiria vya utoaji huduma hususan afya na elimu nchini humo wakati huu ambapo nchi hiyo imeonyesha maendeleo katika sekta ya elimu katika kipindi cha takribani muongo mmoja uliyopita.
Idadi ya visa vya ugonjwa wa kuhara imeongezeka sana mwaka huu ikilinganishwa na mwaka uliopita, imesema Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu OCHA ikieleza wasiwasi wake kuhusu mwelekeo huo kwenye taarifa iliyotolewa leo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametambua hukumu ya kifungo cha maisha iliyotolewa na mahakama maalum nchini Senegal dhidi ya Rais wa zamani wa Chad, Hissène Habré.
Nchini Iran uamuzi wa kuwacharaza bakora wanafunzi 35 baada ya kufanya sherehe za maafali umelaaniwa vikali na ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa.
Uwekezaji wa kampuni za kichina kwenye uchumi wa Afrika huenda ukaleta ajira na ukuaji wa uchumi endelevu zaidi, iwapo utalenga sekta zenye tija zaidi.
Baraza la Usalama limekutana leo kujadili hali ya usalama Sudan Kusini na limeamua kuendeleza vikwazo dhidi ya baadhi ya watu binafsi nchini humo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema idadi ya watu wanaokimbia machafuko inaongezeka huko Fallujah Iraq, ambapo zaidi ya watu 3000 ikiwa ni kaya zaidi ya 600 wameripotiwa kuhepa eneo hilo.
Kukiwa na takribani watu milioni 795 wanaokabiliwa na njaa duniani na wengine milioni 60 wanaohitaji msaada wa chakula kutokana na ukame na mavuno hafifu yaliyopsababishwa na El Niño, mawaziri wa kilimo kutoma mataifa ya G-20 wanaokutana China wanakabiliwa na kibarua kigumu, amesema Rais wa wa sh
Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku Mei 31, nchini Uganda hatua kadhaa za kudhibiti matumizi hayo ikiwamo kupitia mtindo mpya wa uvutaji wa tumbaku kupitia Shisha zimechukuliwa.