UM wapigia chepuo ushiriki wa wanawake katika vyombo vya usalama Somalia
Nchini Somalia taifa ambalo limekuwa katika mizozo kwa takribani miongo miwili, ujenzi wake unaimarika katika nyanja tofauti ikiwamo ushirikishwaji wa wanawake katika vyombo vya usalama.