Mtalaam huru Tom Nyanduga asifu mchango wa hayati Balozi Bari Bari wa Somalia
Kufuatia mashambulizi ya tarehe 27 mwezi huu kwenye hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yaliyosababisha vifo vya raia kadhaa akiwemo mwakilishi wa kudumu wa Somalia kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, Yusuf Mohamed Ismail Bari Bari, mtaalam Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki