Sheria za uwekezaji zinapaswa kuwezesha mataifa yanayoendelea kushindana kibiashara:UNCTAD
Miundo msingi iliyoboreshwa ni muhimu katika kupunguza gharama za uzalishaji ili kukuza kipato cha jamii na taifa kwa ujumla. Amesema Katibu Mkuu wa kamati ya bishara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD, Mukhisa Kituyi.