Upatikanaji wa huduma ya maji safi waangaziwa nchini Tanzania
Ikiwa ni miezi miwili kabla ya dunia kuadhimisha siku ya maji duniani, wataalamu wamekuwa wakibonga bongo juu ya nini kufanya ili huduma hiyo adhimu iweze kuwafikia wananchi wengi bila gharama kubwa.