Twarekebisha tabia za watendaji kuimarisha ulinzi wa amani: ASP Edith Swebe
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
Shughuli za ulinzi wa amani hukutanisha walinda amani na mazingira mapya tofauti na kule walikotoka hata hivyo walinda amani wawe ni askari, maafisa, polisi au watendaji wa kiraia huhakikisha wanajitahidi kutimiza wajibu wao.
Tarehe 29 Mei ni siku ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa duniani, kukumbuka wale waliofariki dunia wakihudumu na pia kutoa shukrani kwa wanaoendelea kutoa huduma hiyo sehemu mbali mbali duniani.
Wakati uchaguzi ukiwa umemealizika wiki chache zilizopita nchini India na huku idadi ya wanawake waliojitokeza kupiga kura ikiwa kubwa lakini nchi hii inasalia kuwa nchi hatari zaidi kwa wanawake.
Wakati ulimwengu umeadhimisha siku ya kimataifa ya bioanuai, tarehe 22, Mei, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, linatarajia kupandisha hadhi msitu wa hifadhi ya Jozani,Zanzibarili uwe hifadhi hai ya kimaumbile ya kimataifa kutokana na utajiri wa bioanuai yake hususan kupatikana kwa k
Madadiliko ya Tabia Nchi ni changamoto kwa wakulima wa nchi zinazoendelea, wakikumbwa na ukosefu wa mvua za kutosha, upatikanaji wa kunj ya kupikia au mmomonyoko wa ardhi.
Wakati tukielekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia mwaka 2015 nchi zinahaha kutimiza malengo hayo.
Nchini Somalia Serikali na wadau wamepitisha makubaliano kuhusu jinsi ya kukabiliana na suala la ukatili wa kingono nchini humo.
Tarehe 15 Mei ya kila mwaka ni siku ya familia duniani ambapo ujumbe wa mwaka huu umeangazia umuhimu wa kuimarisha familia ili kuweza kufikia malengo ya maendeleo ya milenia hususan lile la kutokomeza umaskini.
newuser
11.9999
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4