Kuimarika kwa huduma za afya kumesaidia katika juhudi za kufikia lengo la nne:Burundi
Burundi ni miongoni mwa nchi ambazo zinajivunia kupiga hatua katika juhudi za kupunguza vifo vya watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano ikiwa ni lengo la nne katika malengo ya maendeleo ya milenia ya Umoja wa Mataifa.