Wasomali wafurahia Kombe la Dunia, kinyume na 2010
Nchini Somalia, vikosi vya kulinda amani vya AMISOM pamoja na serikali ya Somalia, zinajitahidi kulinda utulivu katika mitaa ya Mogadishu, usiku na mchana, ili watu waweze kufurahia kombe la dunia.
Nchini Somalia, vikosi vya kulinda amani vya AMISOM pamoja na serikali ya Somalia, zinajitahidi kulinda utulivu katika mitaa ya Mogadishu, usiku na mchana, ili watu waweze kufurahia kombe la dunia.
Mkutano wa kwanza wa Baraza la Mazingira duniani umefanyika wiki hii huko Nairobi Kenya, maudhui ya jumla yakiwa ni malengo ya maendeleo endelevu na ajenda ya maendeleo baada ya mwaka 2015.
Nchini Somalia, uchaguzi mkuu utafanyika mwaka 2016, na kinachofanyika sasa ni mchakato wa kisiasa utakaowezesha kuundwa kwa serikali shirikishi za majimbo kama njia ya kuwezesha kufanikisha uchaguzi huo.
Siku ya mabaharia duniani imeadhimishwa kwa kutambua mchango wa kundi hilo katika maisha ya kila siku ya jamii nzima duniani.
Katika maeneo ya Bonde la Ufa, wakazi hufuga wanyama, ngombe, mbuzi kondoo na hata punda kama njia ya kujiendeleza na kujikimu maishani. Leo tunangazia juhudi za akina mama waliofiwa na waume wao ambao wanajitegemea kwa njia hii.
Basi jiunge na John Ronoh kwa makala hii….
Wiki iliyopita, mauaji yalitokea nchini Iraq, maeno ya Mosul, baada ya kikundi cha waislamu wenye msimamo mkali cha ISIL kukamata mji huo.
Nchini Kenya, sehemu za misitu zinafunika asilimia 1.9% tu ya ardhi, kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO, ambayo ni idadi ndogo sana ikilinganisha na asilimia 68 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki, IAEA, linatumia miyonzi ya nyuklia kuboresha mbegu za mazao mbalimbali na kuimarisha kilimo katika nchi zinazoendelea.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limefanya mjadala wa ngazi ya juu kuhusu mchango wa haki za binadamu na utawala wa kisheria kwenye ajenda ya maendeleo baada ya mwaka 2015. Miongoni mwa watoa mada alikuwa Dkt.