FAO na kaulimbiu "Samaki safi, maisha bora"
Uvuvi wa kupindukia ni moja ya tishio kubwa kwa utunzaji wa rasilimali za mabahari na usalama endelevu wa chakula.
Uvuvi wa kupindukia ni moja ya tishio kubwa kwa utunzaji wa rasilimali za mabahari na usalama endelevu wa chakula.
Normal
0
false
false
false
EN-GB
X-NONE
X-NONE
Ulimwengu unaadhimisha siku ya hakimiliki duniani tarehe 26 Aprili, maudhui ni Filamu: Msisimko wa dunia!
Normal
0
false
false
false
MicrosoftInternetExplorer4
Ikiwa maadhimisho ya wiki ya chanjo duniani yameanza leo, siku hii hutoa fursa kwa Shirika la Afya duniani WHO na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudiumia watoto duniani UNICEF kusisitiza umuhimu wa chanjo ili kuzuia magonjwa hatarishi.
Ni lazima wanadamu waitendee haki dunia kwa kuwa hakuna dunia nyingine na njia pekee ni kuhakikisha ukomeshwaji wa ongezeko la gesi joto.
Shirika la watoto duniani, UNICEF, nchini Tanzania, linaendesha mradi maalum unaolenga kufundisha watoto teknolojia mbali mbali za utangazaji wa redio, mafunzi hayo yakiwawezesha watoto kuwa na mtazamo huru ambao utawasaidia katika maisha yao.
Wakati dunia inaelekea kuadhimisha siku ya Malaria duniani tarehe 25 mwezi huu, ripoti za shirika la afya duniani, WHO zinasema kuwa kiwango cha vifo vitokanavyo na Malaria duniani kimepungua kwa asilimia 48 kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kuanzia mwaka 2000 hadi 2012.
Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasikitishwa na kukamatwa na kuzuiliwa kwa takriban wakimbizi elfu moja na waomba hifadhi waliokamatwa wakati wa operesheni ya kukabiliana na ugaidi inayotekelezwa na vikosi vya usalama nchini Kenya mji mkuu Nairobi tangu mape
Wakati machafuko nchini Sudani Kusini yakiripotiwa kundelea ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS umeanzisha mradi wa kusafisha magari ambao angalu utaleta matumaini ya kipato katikati ya ghasia zilizosababisha hali tete ya usalama wa chakula kutokana na shughuli za kiuchumi kudidimia.