Umuhimu wa kuhifadhi nyaraka za picha na sauti
Urithi wa picha na sauti zitokanazo na matukio mbali mbali duniani uko hatarini!
Urithi wa picha na sauti zitokanazo na matukio mbali mbali duniani uko hatarini!
Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon na baadhi ya viongozi wa dunia katika nchi za pembe ya Afrika imefufua matumini kiuchumi, kijamii na hata katika usalama.
Vijana jitokezeni kutetea sera zenu kwa maslahi yenu. Ni kauli ya mmoja wa washiriki wa kongamano la vijana kuhusu sera linaloendelea jini Baku, Azerbaijan, Selemani Kitenge ambaye amezungumza katika mahojiano maalum na Basma Baghall wa idhaa ya kiarabu ya Umoja wa Mataifa.
Wakati mkutano kuhusu mipango thabiti ihusuyo teknolojia ukiendelea nchini Korea Kusini Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO, shirika la wanawake UN Women ni miongoni mwa taasisi zilizopewa tuzo za kutambua mchango wa kuendeleza maisha ya wanawake kupitia
Wakati nchi ya Somalia ikiendelea kujikwamua kutokana na minyororo ya vita kwa wenyewe kwa wenyewe iliyokuwa imeifunga nchi hiyo kwa zaidi ya miongo miwili, wananchi kwa muda mrefu wamekabiliana na changamoto mbali mbali ikiwemo upatikanaji wa huduma muhimu kama vile za afya.
Wakati Umoja wa Mataifa ukiadhimisha siku yake October 24 kila mwaka, wananchi nchiniUgandawanatizama chombo hicho cha kimataifakamamsaada mkubwa katika ngazi ya mataifa ambapo wanasema licha ya kusaidia kulinda amani ya ulimwengu Umoja wa Mataifa umekuwa mstari wa mbele katika misaada ya chakula
Mwanamke wa kijijini! Huyu huchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya jamii yake, taifa na hata dunia kwa ujumla kupitia shughuli mbalimbali anazozifanya.Iwe ni kilimo, ufugaji, kulea familia yake na hata kuleta uzao au nguvukazi duniani.
Tanzania imetimiza lengo la maendeleo ya milenia namba nne linaloangazia uhai wa watoto ikiwa bado ukomo wa malengo hayo haujafikiwa mwakani 2015.
Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO limesema juhudi za makusudi zinahitajika ili kuunusuru mji mkongwe wa Zanzibar ambao umeingia katika orodha hatarishi ya kutoweka katika urithi wa dunia.
Usiku wa tarehe 12 Oktoba 2014, mjini New York, mwanamajumui, msomi, mwalimu na mwanafasisi nguli wa Afrika kutoka Kenya, Profesa Ali Mazrui aliaga dunia!