Zaidi ya mazungumzo, COP26 katika picha

Mkutano wa Mbadiliko ya tabianchi wa Glasgow ulifunguliwa rasmi tarehe 31 Oktoba, na takriban wajumbe 50,000, mashirika yasiyo ya kiserikali na waandishi wa habari wamesajiliwa.
UNRIC/Miranda Alexander-Webber
Mkutano wa Mbadiliko ya tabianchi wa Glasgow ulifunguliwa rasmi tarehe 31 Oktoba, na takriban wajumbe 50,000, mashirika yasiyo ya kiserikali na waandishi wa habari wamesajiliwa.
COP26 inafanyika katika kampus ya matukio Scotland, eneo hili maalum lilishinda tuzo ya eneo la utalii linalolinda mazingira katikati mwa Glasgow.
UN News/Laura Quinones
misururu mirefu ya washiriki wakisubiri kupita sehemu ya ulinzi na kuingia eneo liitwalo ‘Blue Zone’ kwenye Kampasi ya Tukio ya Scotland, ambako mikutano mingi inafanyika
UN News/Laura Quinones
, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel (kushoto), Mia Motley, Waziri Mkuu wa Barbados, (Katikati) na Sheikh Hasina, Waziri Mkuu wa Bangladesh (kulia), wanaonekana wakipiga soga pamoja kabla ya tukio kuu
UN News/Laura Quinones
Katibu Mkuu wa UN António Guterres akihutubia mkutano wa COP26 huko Glasgow Scotland
UNRIC/Miranda Alexander-Webber
wajumbe wakiwa wamekaa katika ukumbi kuu wa mkutano wa COP26 huko Glasgow, Scotland
UNFCCC/Kiara Worth
kikundi kilicho beba mabango kinajitokeza kwa wapiga picha kwenye eneo la mkutano ukanda wa Eneo la Bluu.
UN News/Laura Quinones
Muigizaji mashuhuri na mwanaharakati wa mazingira Leonardo DiCaprio akiwa kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres.
UNFCCC/Kiara Worth
Baadhi yao wamepumzika baada ya siku yenye shughuli nyingi kwenye Mkutano wa Viongozi wa Dunia.
UN News/Laura Quinones
Mwanaharakati akiwa amevalia kikaragosi cha Dinasoria wakati wa maandamano huko Scotland kwenye mkutano wa COP26
UN News/Laura Quinones
Mshiriki amewataka kuahidi kuwa watatunga sheria ya kupunguza utoaji wa g
UNFCCC/Kiara Worth