Mashujaa wa kibinadamu walio mstari wa mbele dhidi ya janga la COVID-19

Albanis Oliva, mratibu katika shirika la kiraia  linalotoa huduma za kiafya kwenye jamii zilizo kaskazini magharibi mwa Venezuela, anasaidia watoto wadogo kusafisha mikono yao wakati huu wa janga la COVID-19.
© Rehabilitarte/Albanis Oliva
Albanis Oliva, mratibu katika shirika la kiraia linalotoa huduma za kiafya kwenye jamii zilizo kaskazini magharibi mwa Venezuela, anasaidia watoto wadogo kusafisha mikono yao wakati huu wa janga la COVID-19.
Marie-Roseline Darnycka Bélizaire, mtaalam wa WHO anayeshughulikia mlipuko wa Ebola katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, anasafiri kwa helikopta kwenda Butembo mashariki mwa DRC mnamo Januari 2019.
WHO/Lindsay Mackenzie
Dk. Debryna Dewi Lumanauw ni daktari wa Indonesia mwenye umri wa miaka 28 anayeishi Jakarta.
© Isabel Yuste
Mtengeneza filamu wa Syria Hassan Akkad (aliye majini upande wa kushoto) alivuka bahari ya Mediterranean kutafuta usalama Ulaya.
© Hassan Akad
Daktari Edna Patricia Gomez akitoa huduma za afya kwa mgonjwa wa Venezuela nchini  Colombia.
© IRC/Schneyder Mendoza
Belitza Bermudez (kulia) afisa wa ulinzi huko Venezuela akipokea watu waliorudi nyumbani
© UNOCHA / Gema Cortes
Shadi Mohammedali (katikati nyuma) ni mkimbizi kutoka Ukanda wa Gaza ambaye sasa anafanya kazi na Shirika la  International Rescue Committee (IRC)Ugiriki.
© IRC