Bado kuna hali ya kutokuwa na uhakika katika sehemu nyingi za ulimwengu kuhusu lini watoto watarudi shule.Katika Cote d'Ivoire, masomo yalirejea tena mnamo Mei na hatua madhubuti ikiwa zinazingatiwa zikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa , kutokaribiana, na kunawa
mikono mara kwa mara.
© UNICEF/Frank Dejongh