
Waajiriwa na wafanyakazi wa kujitolea huko Jirjus wanafanya kazi ya kubandika mabango yanayotoa mafunzo dhidi ya kujikinga na COVID-19. Hii ni kampeni inayofanyika mji wa Qumishly ulioko kaskazini mashariki kwa Syria. Matangazo haya ni pamoja na kuelekeza njia muafaka ya kunawa mikono na kuzingatia usafi.
© UNICEF/Delil Souleiman