Tai, kutakiana heri na Hello Kitty: Nyuma ya Pazia la UNGA

Kikaragosi cha kijapani, Hello Kitty kilipotembelea ukanda wa SDGs wakati wa mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la UN
Picha ya UN/Mark Garten
Kikaragosi cha kijapani, Hello Kitty kilipotembelea ukanda wa SDGs wakati wa mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la UN
Mlo wa faragha wa mchana ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa ajili ya viongozi wa ujumbe wa nchi wanachama kwenye mjadala mkuu wa UNGA74
Picha ya UN /Laura Jarriel
Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres (kati) akiwa na Rais Donald Trump wa Marekani (kushoto) na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel (kulia) wakati wa mlo wa mchana kando mwa UNGA74
Picha ya UN /Eskinder Debebe
Emmanuel Macron, Rais wa Ufaransa (kati) akisalimiana na Rais Donald Trump wa Marekani na mkewe Melania Trump kabla ya kuanza kwa mjadala mkuu wa UNGA74
Picha ya UN/Kim Haughton
Washiriki, maafisa na wafanyakazi wa UN wakisubiri nje ya ukumbi wa Baraza Kuu la UN kabla ya kuanza kwa mjadala huo wa UNGA74
Picha ya UN/Mark Garten
Wanahabari wakifuatilia kuwasili kwa viongozi kwenye mlo wa faragha wa kila mwaka unaoandaliwa na Katibu Mkuu wa UN
Picha ya UN /Rick Bajornas
Rais Jair Messias Bolsonaro wa Brazil, kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa Baraza Kuu la UN kuhutubia.
Picha ya UN /Eskinder Debebe
Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres akirekebisha tai yake kabla ya kuingia kwenye kikao cha mabadiliko ya tabianchi 2019
Picha ya UN/ Cia Pak
Taswira ya bendera za nchi wanachama zilizoko eneo la kengele ya amani kwenye makao makuu ya UN wakati wa siku ya maadhimisho ya siku ya amani duniani, tarehe 21 mwezi Septemba
Picha ya UN /Laura Jarriel