LINDA WATU, LINDA AMANI

Mlinda amani mwanamke kutoka Ethiopia akimsaidia mwanamke Sudan Kusini kubeba kuni kichwani
UN Photo/JC McIlwaine
Mlinda amani mwanamke kutoka Ethiopia akimsaidia mwanamke Sudan Kusini kubeba kuni kichwani
Maafisa wa polisi kutoka kote duniani wanaohudumu katika operesheni za ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa wamekutanikpamoja kwenye Makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, kujadili masuala yahusuyo polisi na hususan jinsi gani ya kuongeza idadi ya maafi
Picha na UN/Marco Dormino
walinda amani kutoka Uruguay nchini DRC wakifanya doria katika mji wa Pinga baada ya waasi kuondoka
UN Photo/Sylvain Liechti
Nchini Sudan Kusini walinda amani wanajeshi na polisi wana jukumu la kuhakikisha usalama wa watu wapatao 200,000 katika kambi za ulinzi.
UN Photo/Isaac Billy
Mlinda amani kutoka Mongolia akitoa ulinzi wakati shirika la mpango wa chakula WFP linaangusha shehena za chakula kutoka kwenye ndege zao angani Bentiu Sudan Kusini
UN Photo/Billy Isaac
Luteni kanali Ella Van Heuvel mlinda amani kutoka Uolanzi akizungumza na mkazi wa Rmeish kusini mwa Lebanon wakati wa doria.
UN Photo/Pascual Gorriz
Pichani ni mlinda amani kutoka Misri anayehudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, akimsaidia raia kuteka maji kwenye kisima ambacho kimejengwa kwa ufadhili wa MINUSCA.
MINUSCA/Hervé Serefio
Pichani ni nchini Sudan Kusini ambako wafanyakazi wa ofisi ya haki za binadamu akichunguza ukiukwaji wa haki za binadamu.
UN Photo/JC McIlwaine
Mlinda amani raia akiwafundisha wanafunzi majukumu ya ujumbe wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa, MINUSMA
UN Photo/Marco Dormino