Mambo matano unayopaswa kuyafahamu kuhusu Burundi-OCHA

Upatikanaji wa huduma ya maji shuleni Burundi- Novemba 2013
Photo: UNICEF Burundi / Rosalie Colfs
Upatikanaji wa huduma ya maji shuleni Burundi- Novemba 2013
Julienne Irankunda, mkimbizi wa ndani katika kambi ya Gitaza nchini Burundi.
Photo: IOM Burundi / Gustave Munezero
Wakimbizi waliorejeshwa makwao kutoka Tanzania wakiwa katika kituo cha muda cha Mabanda, jimbo la Makamba, Burundi-24 April 2018
Photo:OCHA Burundi / Christian Cricboom.
Shamba la zao la mahindi lilovamiwa na viua vijeshi. 2018
Photo: FAO Burundi / Gustave Ntaraka
Mtoto ambaye anapimwa uzito katika juhudi za kukabiliana na utapiamlo.
Picha : WFP Burundi / Djaounsede Madjiangar
Jacqueline anayeishi na watoto wake sita katika jimbo la Kirundo, ni mkulima lakini mabadiliko ya tabianchi yanachangia kupungua kwa mvua huku akishindwa kulisha familia yake.
Photo: OCHA/ Julie Languille
Manusura wa majanga ya asili, jimbo la Rumonge nchini Burundi- Novemba 28 2018
Picha: OCHA Burundi / Ana Maria Pereira
Wakimbizi wanaorejeshwa nyumbani kutoka Tanzania wakiwa katika kituo cha muda cha Mabanda, jimbo la Makamba, Burundi. Aprili 24, 2018
Photo:OCHA Burundi / Christian Cricboom.
Msaidizi wa Katibu mkuu wa masuala ya kibinadamu na naibu mratibu wa OCHA Bi. Ursula Mueller
Photo: OCHA/Dama Bizimana
Watoto wakiteka maji machafu katika mto karibu na nyumbani jimbo la Ruyigi nchini Burundi. Septemba 14, 2017
© UNICEF/UN0185046/Haro
Mtoto akilala chini ya chandurua cha kuzuia mbu.
Photo: UNICEF Burundi / Rosalie Colfs