Huduma ya afya ya macho kwa manusura wa Ebola DRC

Centrine akichunguzwa jicho lake.
WHO/J. D. Kannah
Centrine akichunguzwa jicho lake.
Dkt. Jessica Shantha (kushoto) na Dkt. Steven Yeh (Kulia) maprofesa kutoka Chuo Kikuu cha Emory nchini Marekani wakichunguza macho ya manusura wa Ebola kwenye kliniki iliyoanzishwa huko Beni, Kivu Kaskazini nchini DRC.
J.D.Kannah/WHO
Christian, manusura wa Ebola nchini DRC akichunguzwa macho yake katika kliniki ya WHO kwa kushirikiana na wizara ya afya ya DRC katika mji wa Beni, Kivu Kaskazini.
J.D.Kannah/WHO
Bi. Kanyare akiwa amemleta mwanae kwenye kliniki ya macho.
WHO/J. D. Kannah
Mtoto manusura wa Ebola aitwaye Muhindo akichunguzwa macho  yake na Dkt. Steven Yeh
WHO/J. D. Kannah
Télesphore Mumbere, Profesa wa magonjwa ya macho kwenye Kliniki ya macho ya Chuo Kikuu Butembo , DRC akichunguza jicho la manusura wa Ebola
WHO/J. D. Kannah
Centrine akiwekewa dawa ya macho baada ya kuchunguzwa kwenye kliniki ya macho kwa ajili ya manusura wa Ebola mjini Beni, jimboni Kivu Kaskazini nchini DRC.
WHO/J. D. Kannah