Maafisa wa Polisi wanawake wanahitajika kwenye ulinzi wa amani UN

Afisa wa polisi mwanamke kutroka Rwanda akiwa kwenye moja ya doria nchini Sudan Kusini.
Picha na UN/Marco Dormino
Afisa wa polisi mwanamke kutroka Rwanda akiwa kwenye moja ya doria nchini Sudan Kusini.
Afisa wa polisi mwanamke kutoka Indonesia akishiriki ukakguzi katika moja ya vituo vya ulinzi wa raia mjini Juba Sidan Kusini.
Picha na UNMISS
Wanawake polisi wakiwa katika maandamano ya UNAMID kuadhimisha siku ya Umoja wa Mataifa ya walinda amani kwenye viwanja vya Arc mwaka 20111
Picha na UN Photo/Albert González Farran
Polisi wa UNAMID wakiwezesha mafunzo ya lugha ya kiingereza kwa wanawake wakimbizi wa ndani mjini El Fasher , Kaskazini mwa Darfur Sudan
UN Photo/Albert Gonzalez Farran
Afisa wa UNPOL akiwa na mkimbizi wa ndani kwenye kambi ya Umoja wa Mataifa mjini Juba Sudan Kusini.
Picha na UNMISS/Nektarios Markogiannis
Farkhanda Iqbel (kulia) , Afisa wa polisi wa UNAMID kutoka Pakistan akikumbatiana na afisa wa polisi wa Sudan  kabla ya kushiriki katika maandamano yaliyoandaliwa na UNAMID kuadhimisha siku ya wanawake duniani mjini El Fasher, Kaskazini mwa Darfur.
Picha na UNAMID/Albert González Farran
Maafisa wa kikosi chaa polisi wanawake kutoka Rwanda wakitoa usaidizi kwa kuwatembelea maafisa wenzao waliokwenda kwenye kambi kwa ajili ya kuwasaidia wanawake na watoto wanaoishi kwenye kituo cha ulinzi wa raia Juba , Sudan Kusini
Picha na UNMISS
Maafisa wa kikosi cha polisi wanawake kutoka India kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Liberia , UNMIL wakishiriki gwaride lililofanyika kuenzi huduma yao mwaka 2008.
UN Photo/Christopher Herwig
Unaisi Bolatolu-Vuniwaqa (katikati) Kamishina wa polisi wa mpango wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini UNMISS na maafisa wengine wanawake wa UNPOL wakizuru hospital ya watoto Juba na chuo cha uganda Juba ambako wametoa msaada wa vitu visivyo chakula . Kamishi
Picha na UN Photo/Nektarios Markogiannis