Uwepo wa amani washamirisha biashara sokoni Yambio Sudan Kusini

Shughuli za kila siku kwenye soko la Yambio nchini Sudan Kusini
UN /Nektarios Markogiannis
Shughuli za kila siku kwenye soko la Yambio nchini Sudan Kusini
Wakazi wa Yambio wakiendelea na shughuli zao kwenye eneo la soko
UN /Nektarios Markogiannis
Wachuuzi wa mboga kwenye soko Yambio jimbo la Gbudue nchini Sudan Kusini
UN /Nektarios Markogiannis
Wateja baada ya kupata chakula kutoka kwa mama ntilie kwenye eneo la soko mjini Yambio jimboni Gbudue
UN /Nektarios Markogiannis
Kijana akimpaka rangi ya kucha mteja wake kwenye eneo la soko mjini Yambio
UN /Nektarios Markogiannis
Huduma za intaneti nazo zinapatikana sokoni Yambio ambapo vijana wanapata fursa ya kurambaza wavuti mbalimbali ili kupata taarifa
UN /Nektarios Markogiannis
Ususi wa nywele nao ni sehemu ya biashara kwenye soko la Yambio jimboni Gbdue nchini Sudan Kusini
UN /Nektarios Markogiannis