Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Mtoto wa miaka 14 mkimbizi kutoka Niher akiwa ameweka mkono wake katika geti akiwa kizuizini nchini Libya
© UNICEF/Alessio Romenzi

Waachilieni huru waliofungwa kwa kusimamia haki zao- Türk

Kufuatia kuanza kwa maadhimisho ya miaka 75 tangu kupitishwa kwa Tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, UDHR, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Volker Türk ametoa wito kwa serikali duniani kote na mamlaka zote zinazoshikilia watuhumiwa kuwapatia msamaha au kuwaachilia huru wale wote walioswekwa ndani kwa kutekeleza haki zao za msingi.

Sauti
1'55"