Kwa kifo cha Thomas Buergentha tumepoteza mtetezi wa haki za binadamu - Volker Türk
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk ameeleza kuwa kufariki dunia kwa Thomas Buergentha dunia imepoteza mtu mashuhuri wa utetezi wa haki za binadamu, “Muda kamili wa maisha ya Thomas Buergenthal uliakisi na kutufundisha uwezo wa kudumu wa haki za binadamu.”