Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

11-12-2023_FAO_Lopit_South Sudan.jpg

Lilly Kiden: Asante FAO kunijengea mnepo sasa najikimu mimi na familia yangu

Wakati mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi COP28 ukijiandaa kufunga pazia hapo kesho nakupeleka Sudan Kusini jimbo la Equatorial Mashariki ambako wakulima walioathirika na mabadiliko ya tabianchi sasa wanajengewa mnepo na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilim

Sauti
2'8"