Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

FAO/Giulio Napolitano

FAO waeleza kwa nini kuzuia upotevu na utupaji wa chakula ni muhimu na jukumu la kila mtu

Katika siku ya kimataifa ya uhamasishaji kuhusu uelewa wa Upotevu na utupaji wa chakula, shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO linataka kila mtu atambue ni kwanini kuzuia na kupumguza upotevu na utupaji wa chakula ni muhimu hasa katika kuchangia mabadiliko ya mifumo ya chakula na u

Sauti
2'30"