Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

TANBAT 6/Kapteni Inyoma

Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania (TANBAT 6) wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR (MINUSCA) wametoa mafunzo ya upishi kwa vikundi vya wanawake wa Kijiji cha Moro kilichoko takribani kilometa 50 kutoka Mji wa Berberat

Sauti
2'11"
© UNICEF/Ahmed Amin Ahmed Mohamed Osman

UNFPA inasaidia kuhakikisha uzazi salama kwa wanawake na wasichana wanaokimbia ghasia Khartoum

Wanawake na wasichana wanaokimbia machafuko yanayoendelea mjini Kharthoum nchini Sudan wanakabiliwa na changamoto lukuki hususan kwa wajawazito wanaohitaji msaada wa kujifungua, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA ambalo sasa limechukua jukumu la

Sauti
2'51"

29 JUNI 2023

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo tukiwa tunaelekea maadhimisho ya pili ya siku ya kimataifa ya lugha ya Kiswahili duniani leo tunaelekea nchini Uganda kuangazia hatua zinazopigwa kufuta kabisa usemi wa mitaani kuwa Kiswahili kilizaliwa Tanzania, kikafa Kenya na kisha kuzikwa Ugan

Sauti
15'37"