Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

WHO / Christopher Black

COP28 ihakikishe inamulika jinsi ya kupunguza vifo vitokanavyo na janga la tabianchi- WHO

Kuelekea mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP28 huko Dubai, Falme za kiarabu tarehe 30 mwezi huu wa Novemba, shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, limesema washiriki wanapaswa waelewe kuwa suala la afya ndilo linapaswa kuchochea majadiliano wa

Sauti
2'23"