MuDa Africa washindi wa ufadhili wa UNESCO wahamasisha wasichana kutoficha vipaji vyao
Wasanii kutoka Taasisi ya Muda Africa ya nchini Tanzania, kundi ambalo ni washindi wa ufadhili wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) wanatoa wito kwa wasichana na wanawake kutoficha vipaji vyao ili waweze kutimiza ndoto zao na jamii iwasaidie kuyatimiza malengo ha