Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

31 AGOSTI 2023

Hii leo jaridani mada kwa kina ambapo mradi wa msaada wa maendeleo ya biashara ndogo-ndogo na za kati wa Benki ya Dunia, unaoendeshwa na mshirika wake, shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake, UN Women, unaaminika kuleta manufaa mengi katika maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokra

Sauti
10'