UNICEF na Equal Access International, wabuni mbinu za kukabiliana na changamoto katika jamii
Janga la tabianchi limesababisha kupotea kwa upatikanaji wa elimu, huduma muhimu, na ajira kwa vijana nchini Kenya. Hata hivyo Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa kushirikiana na Equal Access International wamewawezesha vijana kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya ta
Wanawake na wasichana wajawazito walioko Gaza wasimulia kinachowakumba
Wakati mzozo katika Ukanda wa Gaza ukizidi kuongezeka huku wananchi wakikabiliwa na changamoto nyingine lukuki ikiwemo uhaba wa chakula, maji, mafuta na vifaa vya matibabu vya kuokoa maisha, Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu na Afya ya Uzazi UNFPA limesema mfumo wa afya nao uko ukingon
Wahudumu wa misaada wa UN wanasema hospitali za Gaza zimezidiwa na ziko ukingoni mwa huduma
Huku mzozo wa Israel na Palestina ukiwa katika wiki yake ya nne, wahudumu wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa leo wameonya kuhusu shinikizo linaloongezeka kwenye hospitali za kaskazini mwa Gaza ambako wamesalia wagonjwa na wahudumu wa afya, huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa&n
Huduma za Posta zisienguliwe kwenye uwekezaji – UPU
Uwekezaji kwenye huduma za posta hasa katika nchi zinazoendelea kama zile za barani Afrika husalia nyuma kutokana na huduma hiyo kutopatiwa kipaumbele sana katikati ya changamoto kama vile afya, elimu, chakula, mabadiliko ya tabianchi.
UN: Pande husika sitisheni huhasama, janga kubwa zaidi la kibinadamu laja Gaza
Hali Mashariki ya Kati inazidi kuwa mbayá.
Sikuwa nataka kurejea nchini mwangu Sudan Kusini - Mkimbizi kutoka Sudan
Wakati maelfu ya wananchi wakikimbia machafuko nchini Sudan mashirika ya Umoja wa Mataifa nayo yana haha huku na kule kuhakikisha wanatoa usaidizi kwa wakimbizi hao.
Methali: MTEGEMEA NUNDU HAACHI KUNONA
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anachambua methali MTEGEMEA NUNDU HAACHI KUNONA.