Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

World Bank/Maria Fleischmann

Ripoti mpya ya WHO yasema utipwatipwa na lishe duni ni mizigo miwili mikubwa ya afya kwa nchi masikini

Zaidi ya nchi 1 kati ya 3 za kipato cha wastani na kipato cha chini zinakabiliwa na changamoto kubwa mbili za kiafya , utipwatiwa na lishe dunia kutokana na mabadiliko katika mifumo ya chakula imesema ripoti mpya ya shirika la afya duniani WHO iliyochapishwa leo kwenye jarida la kimataifa la afya

Sauti
1'54"